Cookie-urile esențiale țin site-ul în funcțiune: autentificare, coș, securitate și atribuirea cashback-ului. Cu acordul tău folosim și cookie-uri de analiză (Google Analytics, PostHog, Hotjar), ca să îmbunătățim site-ul, și de marketing (Google Tag Manager), pentru campanii. Poți schimba oricând alegerea din „Setări cookie-uri”, în subsolul paginii. Detalii în Politica de cookie-uri.
n nSwahili translation of the Nobel-prize winning author's 1994 novel Paradise.n n nn n Mzaliwa wa Afrika ya Mashariki, Yusuf anaondoka kwao kwa ghafla akiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Haimjii hata kwa sekunde moja, kwamba atakuwa mbali na wazazi wake kwa muda mrefu, na wala hafikirii kuuliza atarudi lini au kwa nini safari iliandaliwa kwa ghafla kiasi kile. Yusuf anaamini kuwa anamsindikiza Ami Aziz lakini ukweli ni kwamba 'ami' yake ni Mfanyabiashara, tena tajiri mkubwa, na Yusuf amewekwa rehani ili kulipia madeni ya baba yake. n nYusuf anajikuta anasafiri katika miji na vitongoji vingi vingine ambako anakutana na watu wa kila namna. Anabalehe na kukua kwenye dunia inayobadilika kwa kasi kutokana na kuingia kwa ukoloni na udhalimu wake na jamii kuharibika kwa kuvurugwa kwa utamaduni wake. n n nn nHii ni tafsiri ya kwanza kwa riwaya za Abdulrazak Gurnah katika lugha ya Kiafrika.n n nn nAbdulrazak Gurnah ni mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi ya mwaka 2021. Ameandika riwaya kumi ikiwemo hii ya paradise. Gurnah ni Profesa wa Masomo ya Kiingereza na Fasihi za Kikoloni katika Chuo Kikuu cha Kent.n nDkt. Ida Hadjivayanis ni Mhadhiri Mwandamizi wa Masomo ya Kiswahili SOAS, Chuo kikuu cha London. Ametafsiri riwaya kadhaa kwa Kiswahili na Kiingereza.n n nn n nn



n nSwahili translation of the Nobel-prize winning author's 1994 novel Paradise.n n nn n Mzaliwa wa Afrika ya Mashariki, Yusuf anaondoka kwao kwa ghafla akiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Haimjii hata kwa sekunde moja, kwamba atakuwa…
Preț avantajos verificat

LIBRIS
Preț avantajos verificat

LIBRIS
Preț stabil
Acum 180,50 lei la LIBRIS. Prețul nu s-a schimbat în ultimele 30 de zile.
Prețul la LIBRIS în ultimele 30 de zile
Prețul tăiat de magazin
200,55 lei
mai mare decât orice preț în ultimele 30 de zile